Monday, December 13, 2010

karibu kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji

Mimi ni mama ninayependa kujishughulish na shughuli za ufugaji wa kuku wa kienyeji, nimeona ni vizuri kushirikisha wajasiliamali wenzangu ili tuweze kupata kitu bora zaidi. kwa hivi sasa nina kuku 200 ambao nimewaweka shambani kwa kutumia ujuzi wa kawaida wa ufugaji, tatitzo ninalopata kuku hawa wanakufa kwa magonjwa hasa kuvimba macho na kufa, ninaomba ushirikiano kwa chochote mnachofahamu ili kuboresha ufugaji na ili turudi kwenye vyakula vyetu vya asili vyenye afya bora na havina madhara ya baadae. Asante.
Kwa mawasiliano zaidi naomba tuwasiliane kwa anuani ifuatayo ericamwanku@gmail.com

No comments:

Post a Comment